VIDEO:TAZAMA WIMBO MPYA WA ESTER NYANDA-NI WEWE

Add caption

Kutoka jijini Mwanza mwanadada msomi  mwenye shahada ya masoko Ester Nyanda akiwa chini ya uangalizi wa kanisa la New Vine kwa mchungaji Goodluck Kyara anatualika kutazama wimbo wake wa kwanza kabisa unaomtambulisha katika soko la muziki wa injili wimbo unaitwa NI WEWE.

Kwa mawasiliano zaidi jinsi ya kumpata Ester Nyanda piga: 0759555714

 
Share on Google Plus

About Prom Over

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment