AUDIO:SIKILIZA NA UDOWNLOAD WIMBO WAKE MLEMBA MO-NYAMAZA

 
Huu ni wimbo uliomtambulisha mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania akitokea jijini Mwanza anayeitwa Mlemba Moses Mwankaja maarufu kama Mlemba mo.
 
Wimbo unaitwa Nyamaza na hata baada ya kuuachia kwa mara ya kwanza kabisa kwenye kituo cha redio kwaneea fm cha jijini Mwanza,wasikilizaji wengi walionesha kuupenda sana wimbo huo na kuzidi kuuomba ambapo uliingia kwenye chati za juu kabisa za Top Ten.

Mlemba mo yupo chini ya usimamizi wa menejimenti ya Promover Entetainment na kama ukimuhitaji kwaajili ya mialiko mbalimbali ya injili tafadhali wasiliana na Promover kwa mawasiliano yafuatayo:

Emaili: promover160@gmail.com
Simu: 0784 074 462
Simu ya Mlemba mo: 0745 018 873


-Sikiliza/download huo wimbo hapa chini
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment