DOWNLOAD/SIKILIZA WIMBO WAKE GODFREY ISAAC-MAISHA YA KESHO

  
Barikiwa na wimbo huu unaozungumzia vile wanadamu wanavyotakiwa kubadilika na kuanza/kuendelea kutenda mema kwa maana hakuna ajuaye kesho yake itakuwaje.

Wimbo unaitwa "Maisha ya kesho"umerekodiwa Melody Studio na kuimbwa naye Godfrey Isack.Ni wimbo uliobeba album yenye nyimbo 8 inayoitwa Maisha ya kesho.Barikiwa

Kumpata Godfrey kwaajili ya mialiko na shughuli mbalimbali za injili tumia mawasiliano haya:

Instagram-Godfrefisaac50
Facebook-GodfreyIsaac 
Simu/Wasap-0764 424 571

Download/Sikiliza wimbo huo hapa chini:
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment