HATIMAYE WIMBO MZURI MAALUMU KWA HARUSI UMEPATIKANA,USIKILIZE HAPA




Harusi ni moja kati ya matukio muhimu maishani ambapo wengi hutamani kupita katika tukio hilo muhimu,moja kati ya vitu muhimu vinavyosindikiza tukio hilo muhimu ni muziki lakini kuna wakati imekuwa changamoto sana kupata wimbo mzuri maalumu kwaajili ya harusi hasa kwenye harusi za kikristo hali inayopeleke baadhi kupiga tu almradi muziki hata kama haumtukuzi Mungu.

Taarifa nzuri ni kwamba PROMOVER.COM imeupata mmoja kati ya wimbo mzuri maalumu kwaajili ya harusi,wimbo huu unatoka kwa mwimbaji wa nyimbo za injili anayefahamika kwa jina la Janet Jimmy unaitwa "UMEMPATA"

Umempata ni wimbo  maalumu wa harusi ambao umebeba ujumbe kwaajili ya maharusi na wanandoa kwa ujumla.
"nimeimba wimbo huu kama zawadi kwa maharusi na wale wanaotaka kufunga ndoa na kwa kuwa ni zawdi basi nami nautoa bure kabisa na kama kuna atakayependa nije niutumbuize katika harusi yake niko tayari"Amesema Janet

Kwa mawasiliano zaidi jinsi ya kumpata Janet Jimmy kwaajili ya huduma tumia:

-Facebook:Janet Jimmy
-Instagram:jayneejimz
-Simu/Wasap:0716 587 782

-Download/Sikiliza wimbo huo hapa chini:
- -Pia unaweza kutazama wimbo mwingine wake Janet Jimmy unaitwa Bwana ni nuru yangu
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment