VIDEO:TAZAMA WIMBO MPYA WA AMBWENE-WEWE NI MUNGU

  

Kama wewe ni mfuatiliaji wa nyimbo za injili lazima utakuwa unamfahamu mwimbaji Ambwene Mwasongwe ambaye alivuma sana na wimbo wa misuli ya imani ambao wengi walimfahamu kupitia wimbo huo.

Mwasongwe amekuwa maarufu sana kwa nyimbo za hisia ambazo zimekuwa na ujumbe mzito sana,simulizi na ujumbe wa kutia moyo.

Hivi karibuni Mwasongwe ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa Wewe ni Mungu ambapo kupitia PROMOVER.COM Tunakualika uweze kuutaza wimbo huo.Barikiwa

 
Share on Google Plus

About Prom Over

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment