WILLY PAUL APATA TUZO YA MWIMBAJI BORA WA GOSPEL AFRIKA

 

Afrika Mashariki imekuwa na furaha kubwa wikendi kwenye tuzo hizo za kila mwaka za Jarida la mziki Afrika,maarufu kama Afrimma Awards baada ya wasanii wa Kenya na Tanzania kuzoa tuzo tofauti kwenye hafla iliyofanyika Marekani wikendi.

Mwimbaji wa muziki wa injili Willy Paul kutoka nchini Kenya amepata tuzo ya msanii bora wa nyimbo za injili akiwawazidi kura waimbaji wengine waliokuwa wanashindana naye katika kipengele hicho ambao ni Wanaijeria Frank Edward,Sinach na Uche Agu,Wagana SP Koffi Sarpong na Sonnie Badu,MsouthAfrika Ntokozo Mbambo na Mkongo Icha Kavons.

Baada ya kutwaa tuzo hiyo Willy Paul aliandika katika mtandao wake wa kijamii akiwashukuru wale wote waliompigia kura na kumfanya mshindi katika kipengele hicho.
 
@afrimma Words alone cannot express how grateful I am for the love and support you’ve given me from day one to date!! I wanna say a big thank you to all my loyal fans ( family ) you’ve all pushed me to the next level.. you are the ones God use to elevate me to the next level.. With all the hate we still made it together.. I’m glad to say that i have been named; the BEST GOSPEL ARTIST, not only in kenya but in AFRICA.. Yesterday night in Dallas USA we made history… I was named a winner!! All the glory goes back to the almighty God! The giver!! I was born to shine!!! And so will I!!!!

Je! Uliiona ile video ambayo Willy Paul aliiga msanii wa kidunia kutoka nchini Marekani?Itazame sasa Bonyeza hapa


Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment