JE! UMEMMIS BAHATI BUKUKU?TAZAMA WIMBO WAKE MPYA | UMEWAZIDI WOTE

Kama wewe ni shabiki na mfuatiliaji wa karibu wa mwimbaji wa nyimbo za injili mashuhuri nchini Tanzania Bahati Bukuku na umekuwa ukiuzipenda kazi zake,basi shaka ondoa kwani tayari anayo video mpya.

Zikiwa zimepita siku kazaa tangu aachie audio ya wimbo wa UMEWAZIDI WOTE na sasa ameamua kuachia video ya wimbo huo ambapo kupitia PROMOVER.COM Bahati anakualika uweze kutazama video hiyo.Barikiwa!

 
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment