MCHUNGAJI RWAKATARE ATOA MSAADA KWA WAGONJWA WA KANSA WA OCEAN ROAD 
Mchungaji kiongozi wa kanisa la Mlima wa Moto Assemblies of God Askofu Dr.Gertrude Rwakatare siku ya Ijumaa 18.11.2016 aliweza kutoa misaada mbalimbali kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na kansa(cancer)katika hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.

Pia aliweza kufanya maombi na kuwatia moyo wagonjwa ambao wmekuwa hospitalini hapo kwa muda mrefu.


Askofu  Dr.Gertrude Rwakatare pia ameitaka jamii kuwa mstari wa mbele kuwasaidia wagonjwa wa aina hiyo kwani wao pia ni sehemu ya jamii na wana haki ya kupata faraja.


Zifuatazo ni baadi ya picha za matukio mbalimbali yaliyotokea wakati Askofu Dir.Getrude Lwakatare alipokuwa akitoa misaada hospitalini hapo.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

Picha na Habari kwa hisani ya GospoMedia.com
Share on Google Plus

About Prom Over

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment