OFFA! REKODI VIDEO ALBUM NZIMA KWA PUNGUZO LA ASILIMIA 50,WAHI SASA

 
Hii ni taarifa nzuri kwa waimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla.Wanaitwa Brave Technology kutoka jijini Dar es salaam,wakiwa ni mabibgwa wa ku design pamoja na video production.

Brave Technology wanatangaza offa kubwa kabisa kwa wale wote wanaohitaji kushoot video zao.Offa hii ambayo ni ya mwezi wa kumi na moja tu itakuwezesha kushoot video album yako yote kwa gharama ya taslimu shilingi laki tano na elfu hamsini tu.

Offa hii pia ni kwa wale watakaohitaji kushoot kwa kamera za kisasa kabisa za Drone Camera hawa watalipia jumla ya shilingi laki saba na elfu hamsini tu.Kwa wale ambao wameshawahi kushoot album nzima watafahamu ni kwa namna gani offa hii itawafaa.

 
Pia Brave Technology wanahusika na masuala ya Website Designing,Graphics Designing,Dubbing dvd/cd,Computer Mantainance na mengine mengi kama inavoonekana katika picha hapo juu.Wahi sasa kabla offa haijaisha,kwa mawasiliano zaidi wapigie kwa namba 0753 659 114
Share on Google Plus

About Prom Over

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment