PATA HUDUMA BORA ZA VIDEO KUTOKA RIGHT CLICK SOLUTIONS WATAALAAMU WA IT NCHINI TANZANIA






Wanafahamika kama Right Click Solutions Tanzania ambao ni mabigwa wa teknolojia ya wasasiliano yaani IT kutoka nchini Tanzania.

Wanakutangazia offa kubwa katika huduma zao mbalimbali ambazo wanazitoa katika kiwango cha juu tena kwa ubora.

 

Wanatoa huduma za utengenezaji wa video mbalimbali tena zote zikiwa ni za HD tu.huduma hizo ni kama vie Video Production in HD,Documentary in HD,Promo video in HD,Video Adverts for Website & TV,School & College Video in HD,Websire Desigh & Hosting,Data Recovery na nyingine nyingi.

Huduma nyingine ni utengenezaji wa vifaa vya kielectronic kama vile kompyuta na photocopy machine.huduma hiyo wanaifanya kwa gharama ya elfu 30,000 tu.

Kingine kizuri kutoka kwao Right Click ni kamera za kisasa kabisa za angani DRONE aina ya phantom 3 standard.kamera hii inakodishwa kwa gharama ya laki moja na elfu sabini tu kwa siku.punguzo lipo na kamera zinauzwa pia.

Pia wanatoa kozi maalumu kwa wafanyakazi wa maofisini au vikundi mbalimbali muda wowote na sehemu yoyote nchini, zile za Quickbooks & installation on computers,ikiwa ni pamoja na IT support kwa bei nafuu sana.

Kwa ulinzi wa mali zako kazini na majumbani,Right Click wanazo CCTV Cameras za ubora hali ya juu hadi zile za kiwango cha plutinum za 8 HD Cameras kwa bei nafuu kabisa kama inavyoonekana kwenye picha hapo juu.


Kama hiyo haitoshi Right Click watakufungia kamera za CCTV kwenye nyumba yako au kazini pia watakufundisha matumizi yake kwa upana na uwazi zaidi.

Wanapatikana jijini Mwanza kwenye jengo la Vijana Cenre mlango mmoja.ukiwa Mwanza wapigine kwa simu namba 0764 36 37 27.Pia wanapatikana Arusha  kwenye jengo la Epotech karibu na Arusha teachers College.Kwa Arusha wapigie kwa simu namba 0757 52 52 00.Na iwapo upo eneo lingine wapigie kwa namba yoyote kati ya hizo.

Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yao ya www.rightclicksolutions.co.tz

Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment