SIKILIZA WIMBO WA MCHEKESHAJI SENGA ALIOMSHIRIKISHA MTOTO WA ROSE MUHANDO

 





Bila shaka ulishasikia baadhi ya wachekeshaji wakiimba nyimbo lakini je umewahi kufikiria iwapo mchekeshaji anayependwa sana anayeitwa Senga akiimba wimbo utakuwaje?je ataimba,atarap au itakuwaje kuwaaje?








Basi kama unawaza hivyo ondoa shaka manake Senga amejibu maswali yako kwa wimbo wake wa injili aliomshirikisha Annoint Essau Amani maarufu kama mtoto wa Rose Muhando.
 
Wimbo huo unaitwa SIWEZI KUTOROKA umerekodiwa kwenye studio ya Wive chini yake producer Man v.

-Download/Sikiliza wimbo huo hapa chini: 
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment