GOODLUCK GOZBERT KAACHIA VIDEO HII MPYA KALI | NDIWE MUNGU


Anafahamika kwa jina la Goodluck Gozbert mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili kutoka jijini Mwanza nchini Tanzania,ambapo kabla mwaka haujaisha kaamua kuachia video ya wimbo wake unaoitwa 'NDIWE MUNGU'.

Wimbo huu unapatikana kwenye album yake mpya inayoitwa IPO SIKU na Video ya wimbo huo imeongozwa na director Ashish huku audio ikiwa imetengenezwa na Goodluck Gozbert mwenyewe kwenye studio ya Mpo Africa.

Kupitia Promover.com Goodluck Gozbert anakualika uweze kutazama wimbo huo lakini pia Goodluck yupo tayari kwa mialiko mbalimbali ya injili ambapo unaweza kumpata kupitia simu namba:0654276560 au 0655212720 

Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment