SEMINA KUBWA KWA WAIMBAJI WA GOSPO YAJA,NI KUTOKA KWA WATANGAZAJI WA REDIO ZA MWANZA


HII HAIJAWAHI KUTOKEA KATIKA JIJI LA MWANZA,NI UMOJA WA WATANGAZAJI WA VIPINDI VYA GOSPO JIJINI MWANZA WAKISHIRIKIANA NA PROMOVER MANEGEMENT,WANAKULETE SEMINA KUBWA  YA KUFUNGA MWAKA KWA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI AMBAPO WATAPEWA MASOMO YA KUWAJENGA TOKA KWA WATANGAZAJI WA REDIO ZA JIJINI MWANZA.

MASOMO YATAKAYOFUNDISHWA NI KAMA VILE JINSI  YA KUJITANGAZA KIMATAIFA,KANUNI ZA KUFANIKIWA KIMUZIKI,NJIA BORA ZA KUONGEZA THAMANI YA MWIMBAJI NA MENGINE MENGI...!

EWE MWIMBAJI BINAFSI,KIKUNDI,BAND AU CHOIR NJOO UPEWE SEMINA HII BURE KABISA AMBAPO PIA UTATOA MADUKUDUKU YAKO YOOTE KUHUSU MUZIKI WA INJILI WA KANDA YA ZIWA.

WALIMU WATAKAOTOA MASOMO KATIKA SEMINA HIYO NI WATANGAZAJI WA REDIO KWANEEMA FM(ERICK AUDAX,PETER ABDALAH SPENYOZA HAULE NA JACKTAN MSAFIRI)KUTOKA JEMBE FM NI ADOLPH NZWALA NA G.SENGO,PAPAA JOSEE NA MAGANGA GWESAGA KUTOKA HHC ALIVE FM,EMMY MSHANA NA DJ NDAKI KUTOKA UKOMBOZI FM,BROTHER G NA GETRUDA SHIMBA KUTOKA LIVING WATER FM BILA KUMSAHAU SAMUEL CHEMU KUTOKA METRO FM.

SEMINA HIYO ITAFANYIKA IJUMAA YA TAR 30/12/2016 KUANZIA SAA 9 ALASIRI HADI SAA 12 JIONI,NI KATIKA UKUMBI WA KASSA CHARITY SCHOOL ULIOPO KANYAMA KISESA JIJINI MWANZA.

WAIMBAJI WOTE WANAOPENDA KUSHIRIKI SEMINA HIYO WATUME MAJINA YAO KWENYE SIMU NO:0755 255 844 NA MWISHO WA KUTHIBITISHA USHIRIKI WAKO NI TAR 28/12/ 2016.

KUMBUKA HAKUNA KIINGILIO NI BUURE KABISA! ILA TU KUMBUKA KUZINGATIA MUDA.HII SI YA KUKOSA,NJOO TUJENGE MUSTAKABALI WA MUZIKI WA INJILI KANDA YA ZIWA.

SEMINA HII IMEDHAMINIWA NA:KASSA CHARITY SCHOOL,PROMOVER MANEGEMENT,BRAVE TECHNOLOGY,KWANEEMA FM,HHC ALIVE FM,UKOMBOZI FM,LIVING WATER FM,JEMBE FM NA METRO FM.WADHAMINI WENGINE BADO WANAKARIBISHWA KUDHAMINI SEMINA HIYO...!

WAIMBAJI WOTE MNAKARIBISHWA! HAKUNA KIINGILIO NI BUUUREE! KABISA!
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment