SIKILIZA/DOWNLOAD WIMBO MPYA WA BENNY WILLIAM | NURU


Kutoka jijini Mwanza nchini Tanzania Mwimbaji wa nyimbo za njili anayechipukia kwa kasi anayeitwa Benny William ameachia wimbo wake mpya wa audio unaokwenda kwa jina la NURU.

Wimbo huu umetengenezwa kwenye studio za Praise Records chini ya mikono yake yeye mwenyewe Benny William.

Ameutambulisha wimbo huo kwenye kipindi nambari moja cha burudani jijini Mwanza kiitwacho Full Shangwe Extra kutoka studio za Kwaneema fm radio.

Benny william yuko tayari kwa mialiko mbalimbali ya huduma za injili,mtafte kwa simu namba:0719 813 124

Karibu sasa usikilize wimbo huo na kisha usambaze kwa marafiki wengine pia usiache kutoa maoni yako.Barikiwa!
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment