SIKILIZA/DOWNLOAD WIMBO ULIOBEBA ALBUM YAKE MANONGA CLASSIC | RUDI


Si mwingine bali ni yule yule mkaliwa gospo kutoka jijini Mwanza wa kuitwa Manonga Classic mtoto wa mfalme,anakualika kwa mara nyingine kusikiliza wimbo wake unaokwenda kwa jina la 'RUDI'.

Wimbo huu unapatikana kwenye album yake ya mwisho kabisa aliyoiachia mwaka 2016 yenye nyimbo saba huku wimbo huo ukiwa ndio uliobeba jina la album hiyo.

Wimbo unazungumzia wito wa kurudi nyumbani kwa mwanampotevu aliyekimbilia mbali,ambapo katika wimbo huu Manonga anampa maneno ya kutia moyo mwanahuyo mpotevu.

Taarifa nzuri ni kwamba wimbo huo wa RUDI pia unapatikana kwenye video ambayo ilitumia gharama kubwa sana hadi kukamilika,tutaiweka kwenye tovuti hii hivi karibuni.

Manonga Classic anapatikana jijini Mwanza kwenye kanisa la EAGT City Center chini yake Mchungaji Michael Kulola.Yuko tayari kwa ushauri wako na mialiko mbalimbali ya injili na unaweza kumpata kwa mawasiliano yafuatayo; 

Email:MichaelManonga@gmail.com
Facebook:@Manonga Classic
Instagram:@manongaclassic
What's up/Simu:0752 690 120
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment