SIKILIZA/DOWNLOAD WIMBO WAKE EDWARD KISUSU | AFUTE ALAMAAnaitwa Edward Kisusu mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka mkoani Dodoma Nchini Tanzania,ametuletea hii mpya aliyoiachia hivi karibuni ili tuweze kubarikiwa nayo kabla ya mwaka haujaisha.

Wimbo unaitwa 'AFUTE ALAMA' akiwa amemshirikisha star mwenzake wa gospel kutoka mkoani Mbeya anayeitwa Christopher Mwahangila.

Wimbo huo umerekodiwa kwenye studio za Dar Jb chini ya mikono yake producer Smart Billionear.Karibu sasa uusikilize wimbo huo:

Kwa mawasiliano zaidi jinsi ya kumpata Edward Kisusu mtafte kwa mawasiliano haya hapa chini kwenye picha:
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment