TAZAMA YALIYOJILI KWENYE USIKU WA MIUJIZA KANISANI WINNER'S CHAPEL INTERNATIONALUsiku wa tarehe 16/12/2016 kuanzia majira ya saa tatu usiku katika kanisa la Winner's Chapel Internation,paliwaka moto wa burudani ya usiku wa miujiza.

Ulikuwa ni usiku wa kusifu na kuabudu uliopewa jina la Praise & Worship Milacles Night ambapo waimbaji mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi walijitokeza kwa wingi katika hafla hiyo kwenye kanisa hilo lililopo Pasiansi Mwanza.

Kutoka Dar es salaam waimbaji waliotumbuiza ni pamoja na John Lisu na Paul Clement,wengine ni Boaz Danken,Benny William,Aic Buzuruga,MICC Praise team,Exllence Band na NVC Praise Team & Winner's Voice.Pia maombi ya maombezi yalifanyika na watu wengi walifunguliwa

Tazama baadhi ya picha za matukio mbalimbali katika hala hiyo.Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment