UONGOZI WA PROMOVER UNAKUTAKIA HERI YA KRISMAS



Uongozi wote wa Promover Manegement wakishirikiana na Promover.com wanapenda kukutakia heri ya krismas kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mwokozi wa ulimwengu masiha Yesu Kristo.

Mwenyezi Mungu akubariki,akutie nguvu na uzidishe upendo katika kuwajali wasiojiweza kama tunavyoagizwa na maandiko matakatifu.

Sisi tunaungana na wakristo wote wanaoamini kuzaliwa na kufa kwake Yesu kristo katika kuadhimisha siku hii muhimu kwetu.Mery Christmas


Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment