USIKOSE SEMINA HII KUBWA YA NENO LA MUNGU



 

Semina Kubwa Ya Neno La Mungu Katika Kanisa La Holy Ghost Revival Ministy Lililopo Igoma Karibu Na Shule Ya Nyerere Jijini Mwanza.


Askofu Mkuu Wa Kanisa La Holy Ghost Revival Ministry Bishop Josephat Magumba Akishirikiana Na Kamati Ya Maandalizi Wanakuja Na Semina Ya Neno La Mungu Katika Semina Hiyo Watumishi Wa Mungu Bishop Magumba Pamoja Na Mtu Wa Mtu Wa Mungu Eric Audax Kutoka Kituo Cha Kwaneema Fm Radio Watafundisha Jinsi Ya Kumweshimu Mungu Katika Utoaji, Kanuni Za Mafanikio Ya Mtu Wa Mungu Pamoja Na Mambo Mengine Katika Uchumi.


Semina Hiyo Itafanyika Siku Ya Tarehe 20 Na 21 Katika Kanisa La Holy Ghost Lililopo Igoma Jijini Mwanza.Katika semina hiyo ya neno la mungu wote watakaohudhulia watafundiswa kwa kina misingi ya imani na wokovu huku wenye shida na matatizo mbalimbali wakiombewa na kupata uponyaji.


Hakuna kiingilio katika semina hiyo,wote mnakaribishwa


Kwa Mawasiliano Zaidi Piga Simu Namba: +255757961279.

                                                              +255763354754.

                                                                +255767818189.
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment