HIZI NDIZO NYIMBO 10 BORA KABISA ZILIZOFANYA VIZURI MWAKA 2016 KATIKA MTANDAO HUU



Mwaka 2016 ndo umeshaisha na sasa ni Mwaka mpya wa 2017,lakini mwaka jana wapo waimbaji waliofanya vizuri katika kazi walizoachia ambazo ziliweza kuchapishwa kwenye mtandao huu.

Leo tumeona tukuletee orodha ya Nyimbo 10 bora kabisa zilizoongoza kwa kusikilizwa na kupakuliwa kutoka kwenye mtandao huu wa Promover.com Karibu!

1:Ufute Alama-Edward Kisusu ft.Christopher Mwahangila.Umesikilizwa mara 65 na kupakuliwa mara 403


2:Wataulizana-Aniseti Butati.Umesikilizwa mara 7 na kupakuliwa mara 293


3:Usilie Tena-Neema Ng’asha.Umesikilizwa mara 46 na kupakuliwa mara 107
4:Wewe ni Mungu-Kamodee Mali ya Mungu.Umesikiliza mara 36 na kupakuliwa mara 103

5:Siwezi Kutoroka-Senga ft.Annoint Essau Amani.Umesikilizwa mara 26 na kupakuliwa mara 93

6:Acha Nikuimbie-Manonga Classic ft.Eliya Petro.Umesikilizwa mara 22 na kupakuliwa mara 88

7:Amezaliwa Mwokozi-Kihayile Group ft.Hondwa Mathias & YZ Manamba.Umesikilizwa mara 15 na kupakuliwa mara 86



8.Wale Wale-Mlemba Mo.Umesikilizwa mara 14 na kupakuliwa mara 84

9:Umempata-Janet Jimmy.Umesikilizwa mara 25 na kupakuliwa mara 65


10:Nuru-Benny William.Umesikilizwa mara 20 na kupakuliwa mara 50
Takwimu hizo zote ni kabla ya tarehe 31/12/2016 saa 6:00 usiku,Hii inamaanisha kwamba baada ya hapo takwimu za kusilikizwa na kupakuliwa kwa nyimbo hizo inaweza kuongezeka lakini hazitarekodiwa upya. 

Pia ifahamike kwamba orodha yote tajwa hapo juu haijapangwa na uongozi wa mtandao huu wala mtu yeyote bali imetokana na takwimu halisi ya kusikilizwa na kupakuliwa kwa wimbo husika baada ya kuchapishwa kwenye mtandao huu wa Promover.com
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment