IKUPA MWAMBENJA ATAMBULISHA OFFICIAL VIDEO YA UZURI WAKO,ITAZAME HAPA

 
Mwimbaji anayeibukia kwa kasi kwenye muziki wa injili akifahamika kwa jina la Ikupa Mwambenja hii leo ameachia video ya wimbo wake unaofahamika kama 'Uzuri Wako'

Wimbo huo unapatikana kwenye album yake mpya inayoitwa 'Adonai' amabapo Audio ya wimbo huo imetengenezwa kwenye studio za Mefo Records naye producer King Son.

Video hii utakayoitazama leo kupitia Promover.com imeongozwa naye Einxer,japokuwa Ikupa aliwahi kuachia video ya wimbo huu ambayo hata hivyo haikupokelewa vizuri lakini mapema leo kaamua kuuachia video rasmi kabisa hii ni kutokana na wimbo huo kufanya vizuri upande wa audio ambapo sasa ni wazi kwamba wimbo utazidi kuwa maarufu kwani video hii imerekodiwa katika ubora mzuri.

Karibu sasa uitazame video hiyo kisha uisambaze kwa marafiki!Ubarikiwe.
 
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment