KONGAMANO LA UWAKILI LAANZA LEO MKOANI MBEYA



 
Kongamano la Uwakili linaloratibiwa na ECD ( Eastern Central Africa Division) Limeanza rasmi katika kanisa la Waadventista Wasabato Mbeya Kati hii leo. 

Katika ufunguzi wa kongamano hilo, Msaidizi maalum wa Mwenyekeiti wa Division, Mch Philip Baptist, amewaasa washiriki kukubali kubadilishwa na Yesu Kristo ili kumletea Bwana Yesu matunda.

Semina hizo ambazo zinashirikisha wazee wa makanisa na wachungaji wote wa makanisa ya Jimbo la Nyanda za juu kusini (SHC) zimehudhuriwa na jumla ya wajumbe 406.

 Mch. Philip akizungumza
 Mch. Mwasomola akizungumza na wahudhuliaji katika kongamano hilo
   

Kwa Hisani Ya:injilileo.com
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment