MANONGA CLASSIC AISIMAMISHA GEITA KWA HUDUMA YA KITOFAUTI.


Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka jijini Mwanza anayefahamika kwa jina la Manonga Classic amebariki nyoyo za wakazi wa Geita baada ya kufanya huduma ya aina yake katika kongamano maalumu.

Hayo yalijiri mapema jana kwenye kongamano la siku 49 lililoanyika mkoani Geita katika viwanja vya T.A.G PENUEL CHRISTIAN TABENACLE chini yake Mchungaji kiongozi Mch:Pallangyo.

Manonga classic ni mmoja wa waimbaji wakubwa kutoka jijini Mwanza aliyepata naasi ya kuhudumu katika kongamano hilo lililohudhuriwa na idadi kubwa ya wakazi wa mkoani Geita.

Manonga classic aliwabariki wakazi wa Geita kwa nyimbo zake kali kama Sina Hofu,Acha Nikuimbie bila kusahau ule unaotamba sana kwa sasa wa Usishindane.
 Tazama hapa chini tumekuwekea picha mbalimbali katika Kongamano hilo:
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment