SIKIKIZA/DOWNLOAD AUDIO YA WIMBO MPYA WA KIM KASOMBA | NIMEPEWA JINA

  

Kupitia burudani ya Promover.com leo tunakuletea burudani nzuri kabisa kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania akifahamika kwa jina la Kim Kasomba.

Burudani hiyo inafahamiaka kwa jina la 'Nimepewa jina' ikiwa imetengenezwa naye Producer Bizzo Baberon,wimbo ukiwa unazungumzia mteule aliyepewa jina naye Mwenyezi Mungu jina lenye thamani kubwa.

Karibu usikilize burudani hii kutoka kwa kipaji kipya kabisa Kim Kasomba kisha usambaze kwa wengine lakini pia kama una maoni usiache kuccoment hapo chini.

Kumbuka kama utamuhitaji Kim kwaajili ya mialiko mbalimbali ya kazi za injili,ushauri au maoni utampata kwa simu namba:0764 054 577
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment