SIKILIZA/DOWNLOAD AUDIO YAKE ANNOINT ESSAU AMANI | SWEET WA UONGO


Kwa mara nyingine tena ikiwa zimepita siku chache tu tangu kuanza mwaka mpya ambapo pia katika mwaka huu mpya mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka jijini Dar es saalamu anayeitwa Annoint Essau Amani maarufu kama mtoto wa Rose Muhando amekuja na album mpya.

Essau kwa siku za hivi karibuni amekuwa akiachia nyimbo zinazopatikana kwenye album hiyo inayoitwa 'Fungua Mboni' ambapo leo kupitia Promover.com anakualika uweze kusikiliza wimbo huu mpya unaoitwa 'Sweet wa uongo' Karibu sasa uusikilize wimbo huo lakini kama utahitaji kumpata Annoint Essau Amani mtafte kupitia simu namba:+255 755 099 942
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment