SIKILIZA/DOWNLOAD AUDIO YAKE PAUL NGUSSA FT. JOLLY | WE ARE ONE BODY

 

Kupitia burudani za Promover.com leo tunakuletea hii kali mpya kabisa kutoka kwa mtanzania anayeishi nchini Uganda wimbo unaitwa 'We Are One Body'.

Mtanzania huyo anayetokea jijini Mwanza anafahamika kwa jina la Paul Ngussa na amekuwa Nchini uganda kwa miaka kadhaa sasa huku akifanya shughuli zake za muziki.

Wimbo huo wa 'We are one body' ukiwa unamaanisha tuu mwili mmoja amemshirikisha mwimbaji Jolly ukiwa umerekodiwa kwenye studio zake mwenyewe Paul Ngussa huku pia akiwa amehusika mwenyewe katika kusuka beat. 

Paul Ngusa ni muandaaji yaani producer wa nyimbo mbalimbali za audio ambapo amekuwa aikiifanya kazi hiyo na nyinginezo za muziki kama vile kuandika nyimbo kupiga kinanda kutengeneza matangazo na nyinginezo huko nchini Uganda.

Kwa mawasiliano zaidi,ushauri na hata mialiko ya kazi za injili unaweza kumpata Paul kupitia mawasiliano yafuatayo:

Facebook: Paul Ngussa
What's up: +255765613459
Email:paulngussa2017@gmail.com
Call:+256706637506
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment