TAZAMA VIDEO MPYA YAKE JENNIFER MGENDI | MITIHANI YA MAISHA

 

Mwimbaji mkongwe na mashuhuri wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania anayefahamika kwa jina la Jennifer Mgendi ameachia video ya wimbo wake wa 'Mitihani ya Maisha'.

Jennifer Mgendi anayetamba na kusifika kwa sauti yake ya kipekee yenye mvuto,mapema mwaka huu wa 2017 ameahidi kurejea upya katika ubora kwa kuendelea kutoa kazi mbalimbali za audio na video.

Karibu sasa uutazame wimbo huo,shirikisha marafiki na kama una maoni tuandikie hapo chini.
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment