ASKOFU MTOKAMBALI ACHAGULIWA KUWA RAISI WA SHIRIKISHO LA MAKANISA YA ASSEMBLIES OF GOD BARANI AFRIKAAskofu Mkuu Wa Kanisa La Tanzania Assemblies Of God Dk.Barnabas Mtokambali Amechaguliwa Kuwa Raisi Wa Shirikisho La Makanisa Ya Assemblies Of God Barani Afrika Katika Uchaguzi Ambao Umefanyika Johanesbug Afrika Kusini.

Mchungaji Mtokambali Amepokea Kijiti Hicho Kutoka Kwa Mtangulizi Wake Revi Mitre Djakoute Kutoka Nchini Togo Ambaye Ameongoza Shirikisho Hilo Tangu Mwaka 2014.

Maaskofu Mbalimbali Wa Tag Wa Majimbo Ya Dar Es Salaam Na Baadhi Ya Watu Ambao Wamejitokeza Kumpokea Katika Uwanja Wa Ndege Wa Kimataifa Wa Juliusi Nyerere Akitokea Afrika Kusini Kwa Ajili Ya Uchaguzi Mkuu.

Aidha Amesema Kuwa Kuchaguliwa Kwake Kuwa Rais Wa Assemblies Of God Alliance Afirica  Ni Mpango Wa Mungu Ili Imjue Mungu.
Share on Google Plus

About Prom Over

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment