EDWARD KISUSU ANAKULETEA BIRTHDAY PARTY YA NGUVU,NI 13/2/2017 FREE POINT RESTAURANT-DODOMA

 
Mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili kutoka mkoani Dodoma Edward Kisusu,anakukaribisha kwenye birthday party ya nguvu itakayofanyika mkoani Dodoma.

Hiyo ni party maalumu kwaajili ya kumbukumbu ya kuzaliwa yake Edward atakayetimiza miaka kadhaa hivyo ameona ni bora kujumuika na ndugu jamaa na marafiki katika sherehe hiyo.

Waimbaji mbalimbali kutoka ndani na nje ya mkoa wa Dodoma watakuwepo kwenye hafla hiyo itakayofanyika ndani ya Free Point Restaurant mjini Dodoma.

Shughuli yote itafanyika tar 13/2/2017 kuanzia saa 12 jioni na kiingilio kikiwa ni sawa na bure kwani utatakiwa tu kuonesha getini zawadi yako kwaajili ya mtoto anayezaliwa(Gift Entrace).

Watu wote mnakaribiswa katika hafla hii ya ukweli kwani kutakuwa na suprise kibao kutoka kwa mtoto anayezaliwa. 
Share on Google Plus

About Prom Over

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment