IRINGA MPO?!!TAMASHA LA ANZA NASI LINAWAHUSU KAENI TAYARI!

           
Wakazi wa Iringa mpo? Hii hapa ni kwaajili yenu.2boys Entertainment & Maranatha Band,wanakuletea Tamasha kubwa kabisa kuwahi kutokea mkoani Iringa linaloitwa 'ANZA NASI'.

Tamasha hilo litafanyika siku ya jumapili 12/2/2017 kuanzia majira ya saa 7 mchana ni pale Highland Hall ndani ya mkoa wa Iringa.

Waimbaji mbalimbali watakuwepo wakiongozwa naye Goodluck Gozbert pamoja na kwaya zote za injili za mkoani Iringa.

Mgeni rasmi atakuwa ni mkuu wa wilaya Richard Kasesela huku kiingilio kikiwa ni 10,000 kwa VIP, 5,000 kwa kawaida na 2,000 kwa watoto.

Hii si ya kukosa ANZA NASI Iringa ili twende sawa kusifu kuabudu na kuimba kwa pamoja.Karibuni sana!

 
Share on Google Plus

About Prom Over

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment