JE! UNATAPENDA KUWA KIONGOZI BORA?BASI USIKOSE SEMINA HII KAMA UPO MBEYA

          
Kanisa la PAG lililopo mkabala na Rift Valley Hotel  mkoani mbeya limekuandalia ewe mkazi wa mbeya semina kubwa kabisa ya uongozi.

Semina hiyo itafanyika alhamisi ya 23/2/2017 kanisani PAG kuanzia majira ya saa 2:00 asubuhi hadi saa 7:30 Mchana.

Mnenaji mkuu katika semina hiyo ni Mwl & Mch:Peter Mitimingi huku somo kuu likiwa ni "Kanuni za kupanua fursa za uongozi wako"

Kwa mawasiliano zaidi na jinsi ya kufika kanisani piga simu namba 0713 183939.Watu wote mnakaribishwa!
Share on Google Plus

About Prom Over

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment