JE! WEWE NI MWANANDOA?KAMA JIBU NI NDIO DARASA HILI LINAKUHUSU,USIKOSE!

         
Kanisa la TAG Beacon Mission Christian Center(BMCC) linakuletea Darasa la wanandoa sehemu ya kwanza.

Darasa hilo litafanyika jumapili ya tar 19/2/2017 kanisani BMCC kuanzia majira ya saa 4:00 hadi saa 5:00 asubuhi.

Mwalimu katika darasa hilo ni Rev:Valentine Mbuke.Watu wote Mnakaribishwa!kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0759 747 140
Share on Google Plus

About Prom Over

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment