NI MKESHA WA KUSIFU KUABUDU NA MAFUNDISHO NDANI YA AMKA TOUR IRINGA,USIKOSE!!

 
Pastor's Children Fellowship(PCf) Wanakuletea 'AMKA TOUR IRINGA' Mkesha mkubwa wa kusifu kuabudu na mafundisho mbalimbali.

Mkesha huo utafanyika ijumaa ya tar 10/2/2017 kuanzia saa 3:00 usiku hadi saa 11:00 asubuhi ni katika kanisa la TAG Kihesa Iringa.

Mwenyeji wa mkesha huo ni Fred Msungu ambaye ni Katibu mkuu wa wa PCF pamoja na uongozi wote wa PFC mkoa.

Kumbuka hakuna kiingilio ni buuure kabisa!watu wote mnakaribishwa hakika hii si ya kukosa ni Amka Tour Iringa
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment