SIKILIZA/DOWNLOAD WIMBO WAKE LYDIA ELIKANA | NITENDEE

 
Kutoka mkoani Kilimanjaro Mwimbaji wa nyimbo za injili Lydia Elikana ambaye kwa sasa anafanyia huduma yake mkoani Morogoro,anakuletea wimbo mzuri kabisa aliotumia lugha ya kiswahili na ile ya kimasai.

Wimbo huo unaitwa 'Nitendee' ukiwa umetengenezwa na producer Dizzy wa Pure Records ya mkoani Morogoro.Kupitia Promover.com Lydia anakualika kusikiliza wimbo huo kisha usambaze kwa marafiki na utoe maoni hapo chini. 

Kwa mawasiliano zaidi kumpata Lydia kwaajili ya mialiko ya huduma mbalimbali kama vile matamasha na mikutano ya injili,unaweza kumpata kupitia simu namba:0688304405
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment