ANGLIKANA WAMEFANYA IBADA YA KUTWAA JIMBO KUTOKA KWA ASKOFU MOKIWA


Askofu mkuu wa kanisa la Anglikana Dr.Jacob Chimeledya amesema ibada iliyofanyika jana March 12 2017 ilikuwa ni ibada ya kutwaa Dayosisi ambayo ilikuwa chini ya Askofu Mokiwa ambaye alisimamishwa baada ya kuwepo kwa mgogoro ndani ya kanisa hilo.

Dk.Chimeledya amesema kuwa baada ya ibada hiyo Dk. Valentino Mokiwa hana mamlaka tena katika dayosisi ya Dar es salaam baada Jarome Napella kuchaguliwa kuwa kaimu kasisi mkuu wa dayosisi ya kanisa la Anglikana DSM na ndio atakuwa msimamizi wa jimbo hilo mpaka uchaguzi wa askofu mkuu utakapofanyika.Bonyeza play hapa chini kutazama
 

Aliyekaimu nafasi ya askofu Mokiwa azungumza baada ya kupewa kazi hiyo,Bonyeza play hapa chini  

Chanzo:MillardAyo.com 
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment