PASTOR GODFREY FUNGO ANAKULETEA HII MAALUMU KABISA,NI SUPER SUNDAY JUMAPILI HII

                        
 
Pastor Godfrey Fungo wa huduma ya Life Giver anakukaribisha katika ibada maalumu jumapili hii iliyopewa jina la Super Sunday.

Ibada hiyo maalumu ya kuondoa matatizo sugu itafanyika jumapili hii ya tarehe 12/2/2017 kwenye ukumbi wa Vijana Social Hall(karibu na uwanja wa furahisha jijini Mwanza).

Kama umeteseka na magonjwa,mikosi,changamoto na matatizo sugu maishani basi njoo kwenye ibada hii maaalumu ya Super Sunday ili uweze kupata suluhisho la matatizo yako kupitia jina la bwana wetu Yesu kristo.

Kwa mawasiliano Zaidi jinsi ya kufika kanisani piga simu namba:0755211061
Share on Google Plus

About Prom Over

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment