SIKILIZA NENO LA SIKU | DOGO LINA MAANA KUBWA-BISHOP MPEMBA

 
Shalom.Bila shaka hujambo,karibu katika Neno la siku kama ambavyo tumekuwa tukikuletea mara kwa mara kupitia mtandao huu wa Promover.com

Neno la siku ya leo linaletwa kwako naye Bishop Mpemba ambaye ni askofu mkuu wa kanisa la TFE Kwaneema lenye makao yake Mkoani Mwanza nchini Tanzania.

Neno la leo limebeba kichwa cha 'Dogo lina maana kubwa' kutoka katika kitabu cha Luka Mtakatifu sura ya 16 mstari wa 10.Barikiwa.

Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment