SIKILIZA/DOWNLOAD MP3 AUDIO | NITAKUTUKUZA-SOUL BROTHERS UNITY

 
Kutoka jiji Mwanza Nchini Tanzania kundi maarufu la muziki wa injili kwa jina 'Soul Brothers Unity' linaloundwa na vijana watatu Yohana Mwachali,Musa Isaya na Samuel Kulola,leo kupitia Promover.com wanatualika kusikiliza wimbo wao mpya kabisa unaokwenda kwa jina la 'Nitakutukuza' 

Wimbo huo umetengenezwa katika studio za Update Music ya jijini  Mwanza chini ya mikono ya producer Doncha Master.Karibu sasa uweze kuusikiliza wimbo huo kisha usambaze kwa marafiki na kama una maoni tafadhali tuandikie hapo chini.    DOWNLOAD/SIKILIZA HIT SONG YAO SOUL BROTHERS-NAKUSUBIRI
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment