SIKILIZA/DOWNLOAD WIMBO MPYA WAKE HONDWA MATHIAS | SEMA NAMI

 
Anaitwa Hondwa Mathias a.k.a Hondwa Melody mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka jijini Mwanza Tanzania,ambaye ameachiachi wimbo mpya kabisa unaojulikana kama 'Sema Nami'.

Leo kupitia Promover.com Hondwa akatukaribisha tuweze kuusikiliza wimbo huo.Karibu uusikilize kisha usambaze kwa marafiki na kama una maoni tafadhali tuandikie hapo chini.
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment