USIKOSE MKUTANO HUU MKUBWA WA NJILI WA KUPINGA MANABII WA UONGO,NI JIJINI MWANZA. 
Kanisa La TFE Kwaneema Wakishirikiana Na Kwaneema Fm Redio Wanakuletea Mkutano Mkubwa Wa Injili Ikiwa Ni Katika Kuendeleza Kampeini Kubwa Ya Kupinga Manabii Wa Uongo Na Ibada Za Kuuza Mafuta,Maji,Sabuni,Vitambaa,Mishumaa Na Udongo.

Mkutano Huo Mkubwa Wa Injili Utafanyika Kwenye Uwanja Wa Furahisha Kuanzia Tar 13-19/3/2017.Kuanzia Saa 9-12 Jioni.

Wanamaombi Wote Kutoka Makanisa Mbalimbali Mnakaribishwa Kwaajili Ya Kuuombea Mkutano Huu,Maombi Yataanza Tar10-12/3/2017 Palepale Furahisha Saa9-Saa12 Jioni.

Wahubiri Mbalimbali Wakiongozwa Na Mch: Philipo Stanslaus Na Paul Chaba Watahubiri Kuvunja Nguvu Za Kipepo Za Ibada Za Maji Na Mafuta.

Waimbaji Mbalimbali Akiwemo Masanja Mkandamizaji Watahudumu Katika Mkutano Huo.

Walete Wagonjwa Na Wenye Shida Mbalimbali Watafunguliwa Katika Jina La Yesu Kristo.

Watu Wote Mnakaribishwa Katika Mkutano Huu Ili Tuweze Kuzizima Imani Za Mwendokasi Ili Kuliinua Jina La Bwana Wetu Yesu Kristo.

Kwa mawasiliano zaidi kuhusu mkutano huo pamoja na jinsi ya kuchangia pesa ili kufanikisha mkutano tumia namba za mchungaji Philipo Stanslaus-0762 695094

Ili Kufahamu zaidi kuhusu mkutano huo na kampeini ya kupambana na imani za mwendokasi,mtazame mchungaji philipo wakati akielezea mkutano huo alipokuwa studio za kwaneema fm redio alfajiri ya leo.Bonyeza>>HAPA
Share on Google Plus

About Prom Over

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment