DVD ALBUM YA SINA HOFU YAKE MANONGA CLASSIC YAINGIA SOKONI RASMI,TAZAMA VIDEO HAPA.

 
Hatimaye ile album iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu inayofahamika kwa jina la SINA HOFU imeingia rasmi sokoni na sasa inapatikana mitaani.

Album hiyo yake Manonga Classic mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili kutoka jijini Mwanza ina nyimbo kali kama vile sina hofu,acha nikuimbie,usishindane,rudi na nyingine kibao.

Leo Manonga classic anatualika tuweze kutazama video ya wimbo unaobeba album hiyo unaoitwa 'Sina Hofu' wimbo umefanyika katika studio za Mp Records huku video ikiwa imeongozwa na director Nyatta wa Sky Media.

Karibu sasa uweze kutazama viveo hiyo na kama unahitaji kupata album hiyo tafadhali tumia mawasiliano haya:0752690120

Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment