HUU HAPA WIMBO WA MAOMBOLEZO YA VIFO VYA WANAFUNZI,KUTOKA KWA WAIMBAJI WA GOSPEL TANZANIA


Nchi ya Tanzania kwa sasa ipo katika majonzi makubwa kufuatia msiba mzito baada ya kuwapoteza wanafunzi zaidi ya 30 katika ajali moja ya Gari iliyotokea huko mkoani Arusha.

Kila mmoja ameguswa kwa aina yake na msiba huo mkubwa,ambapo waimbaji mbalimbali wametunga nyimbo mbalimbali maalum kwaajili ya msiba huo.

Kati ya waimbaji hao ni kikundi cha waimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania kinachoitwa Tanzania One Soul ambao wametengeneza wimbo maalumu kwaajili ya msiba huo,wimbo unaitwa 'NI SALAMA'

Uongozi mzima wa Promover unapenda kuchukua nafasi hii kutoa pole kwa watanzania na watu wote walioguswa na msiba huo.Karibu sasa utazame wimbo huo hapa chini.

Share on Google Plus

About Prom Over

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment