KONGAMANO KUBWA LA NENO LA MUNGU LAFANYIKA JIJINI MWANZA,TAZAMA PICHA ILIVYOKUWA


Katika juma hili jiji la Mwanza lilifurikwa na baraka kutokana na kongamano kubwa kabisa la neno la Mungu lilofanyika katika eneo la Igoma jijini hapo.

Kongamano hilo lilikuwa linahusu maombi kwa wenye shida na vifumngo mbalimbali pamoja na kuliombea taifa,likiwa limeandaliwa na Huduma ya HollyGhost Ministry chini yake mtumishi wa Mungu Askofu Josephat Magumba.

Wakazi wa maeneo mbalimbali walijitokeza kwa wingi katika kongamano hiolo lililofanyika kwenye viwanja vya cocacola ndama igoma kuanzia tarehe 23-25 mwezi wa 5 mwaka huu wa 2017.

Kupitia Promover.com tunakualika uweze kutazama baadhi ya picha katika kongamano hilo.Karibu na ubarikiwe sana.


 -Hawa ni baadhi ya watu waliojitokeza
 -Burudani pia ilikuwepo kutoka kwa waimbaji mbalimbali

 -Bishop Magumba akitoa neno la Mungu katika kongamano hilo


Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment