TAZAMA HAPA WIMBO MPYA WA CHRISTINA SHUSHO | YOTE ALIMALIZA



Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania anayeitwa Christina Shusho,ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa 'YOTE ALIMALIZA'

Video hiyo imeongozwa na director Mbangwa Hassan kutoka studio ya Brayance Works Productions huku Audio ikiwa imefanyika kwenye Studio ya Cs Records.

Karibu sasa utazame wimbo huo na kisha usambaze kwa marafiki na kama una maoni tuandikie hapo chini.Barikiwa!

Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment