HALIJAWAHI KUTOKEA TAMASHA KUBWA KAMA HILI JIJINI MWANZA!TAARIFA KAMILI IKO HAPA

Ni tamasha Kubwa la pekee na la aina yake kuwahi kutokea katika jiji la Mwanza,ni tar 2/7/2017 Katika viwanja vya CCM Kirumba jijini Mwanza.


Ni tamasha la Full Shangwe Extra Day lililoandaliwa na kituo cha redio ya kikristo cha jijini Mwanza kinachoitwa Kwaneema fm Radio ikiwa ni maalumu kabisa kwaajili ya kuadhimisha miaka 7 tangu kuanza kurusha matangazo yake.

Waimbaji mbalimbali wataungana na Kwaneema fm katika kusherekea wakiwa ni pamoja na Rose Muhando,Atosha Kisava,Witness Josephat,Hondwa Mahias,Emmanuel Mbasha,Betty Lucus,Mlemba mo,Christian Kelvin,Sam D.Kulola,Double K,MC Double D Inano,Emmanuel Mwasasumbwe,Emmanuel Mwakisepe,Gilbert Noah,Derick Ndonge,Kamodee mali ya Mungu,Juliet Busagi,Papaa Josee,Neema Mbozi,Ajuwaye Onesmo,Kihayile Group,Ebenezer Revival Choir na wengine wengi.

Kwaya mbalimbali pia zitakuwepo kama vile Holly Ghost Choir,Excelece Band,AIC nyakato Choir,Havilla Gospel Singers,Matendo mema choir,Tumain Anglican Choir,Gosheni Choir,TAG Bwiru Choir na nyingine nyingi.

Viingilio katika Tamasha hilo ni Tsh3,000-wakubwa na Tsh1,000-watoto.Muda ni kuanzia saa 4 asb hadi saa 12 jioni.

Hakika hii si ya kukosa!kaa tayari.
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment