SIKILIZA SIMULIZI YA MALKIA WA KUZIMU | USHUHUDA WA KWELI

Habari yako!bila shaka hujambo.Karibu sana kwenye mtandao huu wa Promover ambapo siku ya leo tunakualika uweze kusikiliza sehemu ya kwanza ya Simulizi ya Malkia wa kuzimu ambayo ni ushuhuda wa kweli wa kijana anayeitwa Anton Masawe mwenyeji wa Moshi.

Katika ushuhuda huu kijana Anton anaeleza jinsi alivyojikuta katika changamoto kubwa maishani baada ya kupendwa na Malkia kutoka kuzimu.Je!ilikuwaje wakakutana na je!alifanikiwaje kujinasua!Majibu yote yako kwenye Ushuhuda huu.Sikiliza sasa na endelea kufuatilia mtandao huu ili upate mwendelezo wa simulizi hii. 
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 maoni: