HUU NDIO WIMBO MPYA WA ANGEL BENARD UNAOZIDI KUWABAMBA MASHABIKI DUNIANI KOTE

 
Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania anayeitwa Angel Benard amezidi kuwa gumzo kila kona ya Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla,siku chache baada ya kuachia video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la 'SITEKETEI'

Video ya wimbo huo inazidi kuwa maarufu zaidi kutokana na ukweli kwamba ni video nzuri ambayo pia Angel Benard ameonekana akiwa amependeza kuanzia mavazi hadi mtindo wa kucheza.

Wimbo huo umerekodiwa katika studio za Epic Record chini ya mikono ya producer Ema The Boy huku video ikiwa imeongozwa na director Traverol wa Kwetu Studio.

Kama hujapata nafasi ya kuutazama wimbo huo karibu sasa kupitia Promover.com uweze kuutazama 
Share on Google Plus

About Prom Over

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment