CHRISTIAN KELVIN AMEACHIA VIDEO YA CHINJACHINJA,ITAZAME HAPA!

 
Mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za njili kutoka jijini Mwanza nchini Tanzania anayeitwa Christian Kelvin,ameachia rasmi wimbo wake mpya unauitwa CHINJA CHINJA.

Wimbo huo ameuachia rasmi leo yaani video pamoja na audio ambapo audio imefanyika katika studio za Brother's Record kwa mikono ya Producer Doncha Master na video imeongozwa na director Jut wa Inus Pictures.

Christian Kelvin ni miongoni wa mwaimbaji wa nyimbo za injili kutoka jijini Mwanza wanaofanya vizuri katika huduma hiyo huku akiwa na muda mrefu tangu ameanza kuimba ambapo kupitia wimbo huo mpya ni wazi kwamba atazidi kuwabariki na kuwafikia wengi kutokana na ukweli kwamba wimbo huo una ubora wa hali ya juu kuanzia audio hadi video.
-Karibu sasa uweze kutazama video hiyo na kisha usambaze kwa marafiki na kama una maoni usiache kutuandikia hapo chini:

-Bonyeza play hapo chini kutazama video ya mahojiano Christian Kelvin akieleza historia yake.
 
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment