HONDWA MELODIES KAACHIA NYINGINE MPYA INAITWA NZAMBE MALAM | ISIKILIZE HAPA



  
Kwa mara nyingine tena mwimbaji mahili wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania Hondwa Mathias a.k.a Hondwa Melodies ameachia wimbo mpya na kama kawaida yake hajakosea wimbo ni wenye ubora wa hari ya juu.

Wimbo huo mpya unaitwa ‘Nzambe Malam’ tafsiri yake ikiwa ni ‘Bwana ni mwema’ umerekodiwa katika studio za HM Records za jijini Dar es salaam chini ya mikono ya producer Makarizim.

Akizungumza na promovertz.com juzi siku aliyoachia rasmi wimbo huo,Hondwa alisema mashabiki wake na wote wa muziki wa njili wakae tayari kwa mfululizo wa nyimbo zake mpya za ubora wa hari ya juu atakazoanza kuziachia hivi karibuni.

Karibu sasa uusikilize wimbo huo kisha uusambaze kwa marafiki.

  HARUSI YA HONDWA MATHIASI YAZUA GUMZO MTANDAONI
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment