TAZAMA YALIYOJILI KATIKA MKUTANO NA SEMINA YA KANISA LA PEM IGOMA JIJINI MWANZA



Picha zifuatazo zinaonesha Jinsi mkutano wa Petencostal Evangelical Mission (PEM)ulivyofanyika ulioanza tarehe 03 mwezi wa 7 na kufikia tamati siku ya leo Huku kukiwa na ugeni kutoka Chikago Marekani Allan Robinson ambae ameendesha  semina ya ndani ya uongozi pamoja na Mhubiri Saimon Kondela kutoka tawi la Mganza katika kanisa la PEM.

Mkutano Huo Wenye Nguvu Kubwa Za Mungu Umekuwa Wa Baraka Kubwa Kwa Wakazi Wa Jiji La Mwanza Hususani Mitaa Ya Igoma ambako umefanyika watu wengi wakifunguliwa na kupokea uponyaji.
Kanisa Hilo Liko Chini Ya Askofu Samwel B Kitula, Katibu Stephen Masalu Katibu Mkuu Wa Shirika Pem, Philpo Matanwana Askofu Wa Jimbo Geita Pem John Kiogoma Askofu Jimbo La Kahama Pem.
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment